
Mwimbaji
 wa kundi la P Square la Nigeria, Peter Okoye alikua California Marekani
 kwenda kumsalimia mtoto wake wa kiume ambae amepata na girlfriend wake 
Lara Omotayo ambae kwa sasa yuko San Francisco Marekani na akiwa huko 
atajifungua mtoto wake wa pili na Peter Okoye mwishoni mwa january 2013.

Kundi
 la P Square limekataa kupokea mialiko ya showz za january 2013 ili 
wapumzike kutokana na mfululizo wa show walizopata siku zilizopita.

Peter Okoye na baby mama wake Lola Omo
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog



