|  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana 
akizungumza na Wanachama wa CCM mkoani Dodoma waliokuwa wamefika 
Stesheni ya Dodoma asubuhi hii kuwalaki Wajumbe wa Sekretarieti ya 
CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya
 miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC 
wameondoka jana jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya 
Chama hicho.Kushoto kwake ni Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya 
Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na kulia kwake ni Katibu wa NEC,Itikaji 
na Uenezi CCM,Nape Nnauye  |