MKAZI wa mtaa wa Tandika, 
Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi 
namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao 
kufuatia ugomvi wa kudaiana Shilingi ya Kitanzania 100 ya maji ambayo 
mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa 
alishindwa kumlipa (Picha: Christopher Nyenyembe via Habari Mseto blog )
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog