
 
Rahma al Kharoos ambaye hivi karibuni 
alichaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya simba, leo jioni alitembelea 
mazoezi ya Simba kwenye uwanja wa Oman Club
Rahma pia ndiye mmiliki wa 
RBP Oil, aliwahi kuwa mdhamini mkuu wa Twiga Stars, pia aliwahi kuwa mmoja wa 
wamiliki wa African Lyon..ni kati ya wapenda michezo.
Pia ndiye aliyeidhamini 
safari yote ya Simba hapa Oman kwa kuwalipia hoteli, tiketi pamoja na chakula 
kwa muda wote wa siku 14 watakazokuwa hapa.  

 
PICHA NA SALEHE ALLY WA 
CHAMPION  
| Rahma al Kharoos ambaye hivi karibuni 
alichaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya simba, leo jioni alitembelea 
mazoezi ya Simba kwenye uwanja wa Oman Club Rahma pia ndiye mmiliki wa RBP Oil, aliwahi kuwa mdhamini mkuu wa Twiga Stars, pia aliwahi kuwa mmoja wa wamiliki wa African Lyon..ni kati ya wapenda michezo. Pia ndiye aliyeidhamini safari yote ya Simba hapa Oman kwa kuwalipia hoteli, tiketi pamoja na chakula kwa muda wote wa siku 14 watakazokuwa hapa.  | 
| PICHA NA SALEHE ALLY WA CHAMPION | 
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog