Timu ya prison 
ya Mbeya imepata ajali eneo la Hare mkoani Tanga,wachezaji Issa 
Mwantika,Lugano Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza 
fahamu na kukimbizwa hospitali ya Tanga,
Kiungo wa Prisons Diego Magai akiongea na blog hii kutoka eneo la tukio 
amesema chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha njia 
na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua 
wanapishana nalo usiku huu,hadi saa tano na dk hamsini usiku huu 
majeruhi walikuwa wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog