Msanii wa
 maigizo na mchekeshaji mkongwe kutoka Bongo Movie Steve Mengele maarufu
 kama Steve Nyerere amepata pigo la kufiwa na mtoto wake leo hii maeneo 
ya kinondoni, kwa sasa Steve yupo kwenye ziara ya Tamasha la  Serengeti 
fiesta 2012.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog