Facebook Comments Box

Monday, September 3, 2012

BASI LA KAMPUNI YA SHAKILA LAPATA AJALI TABORA

Watu tisa wamejeruhiwa huku watatu wakiwa katika hali mbaya na kupewa huduma ya kwanza katika kituo cha afya cha Mtakatifu Philipo na kisha kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa Tabora Kitete kwa matibabu zaidi,baada ya basi la kampuni ya Shakila lenye namba za usajili T 539 AMY, lililokuwa likitoka wilayani Sikonge kuelekea mjini Tabora na kuanguka eneo la Kizigo manispaa ya Tabora.

Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog
 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU