'DANNY BOY' Welbeck leo amefunga bao lake la kwanza akiwa na klabu yake
ya Arsenal wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 Ugenini
dhidi ya Aston Villa.
Arsenal walipata mabao yao matatu ya haraka ndani ya sekunde 200, kwa
mabao ya Mesut Ozil, Danny Welbeck na la tatu Aston Villa wakijifunga.
 |
OZIL AKITUPIA LA PILI |
|
 |
BAO LA KUJIFUNGA LA ASTON VILA |
|
 |
JINSI BAO LA WELBECK LILIVYOTENGENEZWA |
 |
ARSENE WENGER AKIPIGA PICHA NA KATUNI WA ASTON VILLA
CHRISTIANO Ronaldo ni hatari bwana!
amelidhihirisha hilo leo wakati akifunga Hatrick yake ya 23 tangu
alipojiunga na klabu ya Real Madrid ya Hispania wakati timu yake
ikiibuka na ushindi wa mabao 8-2 dhidi ya klabu ya Deportivo.
Mabao ya Madrid katika mchezo huo yalifungwa na Ronaldo
29', 41', 78', Rodriguez 36', Bale 66', 74', Hernandez 88', 90' huku
yale ya Deportivo yakifungwa na Medunjanin 51', Verdú Nicolás 84'
|