Saturday, December 1, 2012
RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI LEO
KILI STARS YASHINDA 7-0: ANGALIA PICHA HAPA
![]() |
Ngassa baada ya kufunga la kwanza |
![]() |
Salum Abubakar akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Somalia |
![]() |
Bocco akipiga kichwa mpira kwenye lango la Somalia |
![]() |
Kapombe akifanya kazi yake |
![]() |
Ngassa akimiliki mpira mbele ya beki wa Somalia |
![]() |
Kipa wa Somalia akiokoa moja ya hatari langoni mwake |
![]() |
Kocha Poulsen |
![]() |
Wachezaji wa aStars Mwinyi Kazimoto kulia na Amir Maftah wakiwa na rafiki yao jukwaani |
![]() |
Amri Kiemba akimpongeza Ngassa kufunga |
![]() |
John Bocco akimburuza Msomali |
![]() |
Bocco akifanya vitu, angalia miguu |
![]() |
Bocco anapongezwa na wenzake baada ya kufunga |
![]() |
Bocco anamuacha mtu |
![]() |
Amri Kiemba kulia |
![]() |
Bocco mawindoni |
![]() | ||||||
Yondan anaokoa
|
KILI STARS YAIPA SOMALIA KIPIGO CHA MBWA MWIZI
Mabao
matano yaliyofungwa na mshambuliaji, Mrisho Ngassa na mawili kutoka kwa
John Bocco. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo ambao
ulishuhudia, Tanzania Bara ikiizamisha, Somalia kwa mabao 7-0, kocha
msaidizi wa timu hiyo, Slivester Marsh amesema wamefurahishwa na matokeo
hayo japo wengi walikata tamaa ya kuona timu hiyo ikitinga hatua ya
robo fainali. ” Ilikuwa ni mechi ngumu kwa upande wetu, tulionekana kama
tusingefuzu kwa hatua ya robo fainali. Tunashukuru Mungu na tuna imani
tunaweza kufanya vizuri zaidi” alisema, Marsh.
Ngassa, alitumia dakika 90 mchana wa leo kufunga bao lake la kwanza katika michuano, na kufunga mengine manne na kuwa kinara wa mabao katika michuano hiyo. Alifunga mara tano, uku mshambuliaji ‘ patna’ wake, Bocco, akifunga mabao mengine mawili na kufikisha mabao manne katika michuano inayoendelea ya Tusker Challenge Cup, uko, Uganda. Wawili hao, Ngassa na Bocco wamekuwa na wakati mzuri katika michuano hiyo na sasa wapo juu katika orodha ya wafungaji bora. Ngassa ana matano n ndiye anayeongoza, uku Bocco, akifuatia na mabao yake manne.
Ngassa, alitumia dakika 90 mchana wa leo kufunga bao lake la kwanza katika michuano, na kufunga mengine manne na kuwa kinara wa mabao katika michuano hiyo. Alifunga mara tano, uku mshambuliaji ‘ patna’ wake, Bocco, akifunga mabao mengine mawili na kufikisha mabao manne katika michuano inayoendelea ya Tusker Challenge Cup, uko, Uganda. Wawili hao, Ngassa na Bocco wamekuwa na wakati mzuri katika michuano hiyo na sasa wapo juu katika orodha ya wafungaji bora. Ngassa ana matano n ndiye anayeongoza, uku Bocco, akifuatia na mabao yake manne.
Katika mchezo wa leo, wachezaji, Edward
Christopher, Athuman Idd ” Chuji” na Ramadhani Singano, walipata nafasi
ya kucheza mchezo wao wa kwanza. Watatu hao waliingia kwa wakati tofauti
katika kipindi cha pili, Edo, alimpokea, Bocco, kisha, Chuji akaingia
mahali kwa Frank Domayo na Singano, mahali kwenye nafasi ya Salum
Abubakary. Katika mchezo mwingine, timu ya Taifa ya Burundi, iliifunga,
Sudan Kaskazini, bao 1-0, na kuwa vinara wa kundi kwa kufikisha pointi
tisa, tatu juu ya zile za Stars.
MASHUJAA WASHINDWA KUZINDUA ALBAM YAO
Watu mbalimbali wakiwa wamelizunguka jenereta Jana usiku.

Mwanamuziki
kutoka DRC-Congo,JB Mpiana akitumbuiza jukwaani mara baada ya kupanda
mnamo majira ya saa tisa kasoro,baada ya hitilafu za umeme kwenye
jenerata kurekebishwa.
SHOO YA
UZINDUZI WA ALBAM YA PILI YA MASHUJAA BAND, ILIINGIA DOSARI NA KUTAKA
KUSHINDWA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB USIKU HUU KUTOKANA
NA KATIZO LA UMEME LA MARA KWA MARA LINALOSABABISHWA NA JENERETA
LINALOTUMIWA KUTOA UMEME KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB,JIJINI DAR.
HALI HIYO IMEPELEKEA MMILIKI WA BENDI YA MASHUJAA,MAMA SAKINA KUPOTEZA FAHAMU NA KUKIMBIZWA HOSPITALI.
HADI SASA HAIJAFAHAMIKA KUWA HALI YAKE IKO VIPI KWANI HAKUNA TAARIFA ZOZOTE JUU YAKE.
MAFUNDI
BADO WANAENDELEA NA MAREKEBISHO YA JENERETA HILO NA IWAPO LITAKAA
SAWA,BASI NI MOJA KWA MOJA BENDI YA WENGE BCBG NDIO ITAPANDA
JUKWAANI,CHINI YA MKONGWE JB MPIANA.
Subscribe to:
Posts (Atom)