![]() |
Kiiza akijaribu bila mafanikio kufunga |
![]() |
Aggrey Morris akiruka juu ya Paul Ngalema kupiga mpira kichwa |
![]() |
Mbuyu Twite akimuacha chini Salum Abubakar |
![]() |
Kiiza akimtoka Hajjji Nuhu |
![]() |
Haruna Niyonzima |
![]() |
Chuji akijadiliana na Niyonzima kabla ya kupigwa kwa mpira wa adhabu |
![]() |
Kiiza alivyomuenzi Mafisango |
![]() |
Mwadini akidaka mpira hewani |
![]() |
Simon Msuva anateleza |
![]() |
Mwadini akiruka kupangua mpira |
![]() |
Msuva |
![]() |
Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
Jabir Aziz akimdhibiti Chuji |
![]() |
Kiiza anapasua katikati ya Ibrahim Shikanda kulia na Sure Boy kushoto |
![]() |
Nadir Haroub 'Cannavaro' akimdhibiti John Bocco |
![]() |
Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
Stewart Hall alitia huruma |
![]() |
Frank Domayo kulia akipambana na Aggrey Morris |
![]() |
Niyonzima akipiga shuti mbele ya Shikanda |
![]() |
Twite anapasua |
![]() |
Sure Boy akimtoka Twite |
![]() |
Sure Boy na Twite |
![]() |
Chuji akipiga kisu mbele ya Sure Boy |
![]() |
Msuva anatafuta njia |
![]() |
Shughuli |
![]() |
Yanga wakipiga ndiki kabla ya mechi |
![]() |
Kikosi cha Azam leo |
![]() |
Kiiza anamtoka Erasto Nyoni |
![]() |
Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
Hatari kwenye lango la Azam |
![]() |
Hatari kwenye lango la Yanga |
![]() |
Msuva akiwasalimia wenzake benchi baada ya kupumzishwa |
![]() |
Niyonzima kushoto, Nyoni kulia |
![]() |
Kiiza na Hajji Nuhu |
![]() |
Kiiza baada ya kufunga bao la pili |
![]() |
Kavumbangu wa pili kutoka kushoto, akishangilia bao lake na wenzake |
![]() |
Kavumbangu wa kwanza kushoto |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog