ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la
Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati
akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi
Tatu Jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog