
Diamond alikua katika kategori ya Best African Act ambayo ilichukuliwa
na Davido kutoka Nigeria na yeye kuishia kupata cheti cha ushiriki ambapo kwake sio vibaya maana anaamini huo ni mwanzo mzuri kwake wa kuelekea katika mafanikio.

Na kwa upande mwingine alitoa shukran za dhati kabisa kwa watanzania kuipokea vema video yake mpya ya mdogomdogo, ambayo inafanya vema kwenye vituo vya luninga hapa nchini kwa sasa.
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog