![]() |
Van persie akishangilia kwa kugonganisha mikono na kocha wake |
Timu ya uhispania ndio ilitabiriwa na wengi kuonesha mpira mzuri na kuchukua kombe ila kwa jana wengi wanasema huu ndio mwisho wa utawala wake kisoka na wanaipa nafasi kubwa uholanzi.
![]() |
Van persie akifunga goli kwa kichwa cha kuchumpa watu wanakifananisha na ndege kubwa za mizigo na watu ikiwa inaruka |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog