HII NDIO VIDEO YA MCHUNGAJI ALIENASWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE
KATIKA
hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta
akiaibika baada ya video yake aliyokuwa akimtomasa mwanamke wakati
wa maombi kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali mbali ya kijamii.
Video hiyo ilirekodiwa kwa kutumia kamera zilizokuwa zimetegeshwa kitika ofisi ya mchungaji huyo bila yeye kujua.