![]() |
Mabingwa wa Netball VETA MOSHI wakiwa katika goli la Mwenge University |
![]() |
Mvua zilizonyesha kabla zilileta dosari na kuchelewesha mechi za Basketball |
![]() |
Mabingwa Kcmc kabla ya Fainali ya Mpira wa Kikapu |
![]() |
Vikombe vya washindi vilivyo tolewa |
![]() |
Washindi wa mpira wa Kikapu KCMC wakiwa na kikombe chao |
![]() |
Fred Maiko Leizer akiwa na kikombe cha mshindi wa kwanza |
![]() |
Waandaaji wa mashindano wakitoa maelezo kabla ya Fainali ya KCMC na Baptist |
![]() |
Kikundi cha kucheza mziki cha TIGO kikitoa burudani |
![]() |
Kikundi cha sarakasi cha TIGO kikitoa burudani baada ya mashindano kuisha |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog