Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.
 |
Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio. |
Majambazi
yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer
yamevamia gari ndogo aina ya VITZ N a kuwajeruhi watu wawili wenye
asili ya asia na kupora kiasi cha fedha ambacho bado thamani yake
haijafahamika mara moja.