![]() |
Wazee wa Kijiwe; Jamhuri kulia na Matola kushoto wakiwa nje ya Uwanja wakiangalia vijana waliojitokeza kuomba kusajiliwa Simba SC wakati wanacheza kuonyesha vipaji vyao |
![]() |
Mchezaji wa kiungo aliyewahi kuchezea timu ya taifa ya vijana chini ya Jamhuhi Kihwelo, Samuel Ngassa naye amejitokeza kuomba nafasi Simba SC |
![]() |
Matola akimpa taarifa muhimu Kibadeni, anayeandika |
![]() |
Kibadeni kulia na Matola aliyeipa mgongo kamera ya BIN ZUBEIRY |
![]() |
Tabasamu mwanana; Kibadeni akifurahia kazi mpya Simba SC |
![]() |
Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala kulia na Meneja wa timu za vijana za Simba SC, Patrick Rweyemamu kushoto |
![]() |
Mungu nisaidie Kibadeni anione; Mmoja wa vijana waliojitokeza kujaribu bahati zao Simba SC akisali kabla ya kuanza kwa usaili |
![]() |
Sala inaendelea |
![]() |
Anamalizia sala |
![]() |
Anafunga sala
SOURSE:BIN ZUBEIRY
|
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog