![]() |
Nahodha wa Simba SC, Juma Kaseja akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
|
![]() |
Nahodha
wa Simba SC, Juma Kaseja akizungumza na shabiki wa timu hiyo, Uwanja wa
Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
|
![]() |
Wachezaji wakmiwa kwenye basi lililowapakia kuwapeleka kambini |
![]() |
Mwanachama wa Simba, Makoye akimlaki Kocha Mfaransa Patrick Liewig |
![]() |
Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere
|
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Mussa Mudde akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,.
|
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Felix Sunzu akitoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,
|
![]() |
Mudde .. |
![]() |
Kocha Msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo akitoka kwa furaha, |
![]() |
Kaburu akimlaki Komabil Keita |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog