![]() |
Wananchi wa monduli wakienda kwa Mheshimiwa kusheherekea mwaka mpya |
![]() |
Hapa pilau likiandaliwa |
![]() |
Magari ya wageni mbali mbali wa sherehe hiyo. Ulinzi ukiwa umezingatiwa |
![]() |
Vijana kutoka pande mbalimbali za Tanzania walishiriki katika sherehe hiyo |
![]() |
Ulinzi ni wa kutosha kabisa |
![]() |
Wageni waalikwa wakiwa kwa kiongozi wao mpendwa Leigwanan Lowassa |
![]() |
Chifu Chege nae alialikwa |
![]() |
Laigwanan akisalimiana na kijana Kimeta wa Mpui wakati akifika kwenye sherehe |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog