![]() |
Hapa akikabidhiwa kombe na nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub Canavaro na kocha wa Yanga |
![]() |
Hapa Rais Kagame akiwahutubia na kuwapongeza |
![]() |
Mwenyekiti wa Yanga Manji akimsikiliza kwa makini Mh Rais Kagame |
![]() |
Hapa Mwenyekiti wa Yanga akitoa risala yake kwa Rais |
![]() |
Hapa Rais akiwakaribisha |
![]() |
Bahanuzi mfungaji bora wa kombe la afrika mashariki na kati akigawa shughuli huko Rwanda |
![]() |
Hapa akikabidhiwa jezi |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog