![]() |
Hatimaye Dimitar Berbatov amehamia rasmi Fulham kutoka Manchester United kwa ada ya £5million |
![]() |
Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas Maicon amesajiliwa kutoka Inter Milan kwenda Manchester City |
![]() |
Charlie Adam amejiunga na Stoke City City akitokea Liverpool kwa ada ya £4MILLION |
![]() |
Andy Carroll amejiunga na West Ham kwa mkopo wa mwaka mzima |
![]() |
Rafael Van Der Vaart amejiunga na Schalke akitokea Tottenham Hotspur |
![]() |
Pablo Hernandez amejiunga na Swansea City akitokea Valencia ya Spain |
![]() |
Scott Sinclair amekamilisha uhamisho wake kutoka Swansea na kuhamia kwa mabingwa wa England Man City |
![]() |
Nicklas Bendtner amehama Arsenal na kwenda kujiunga na Juventus ya Italia |
Facebook Comments Plugin Enhanced by Kitongoni blog