Facebook Comments Box

Friday, May 17, 2013

PICHA: ALEX SONG NA GERARD PIQUE WAKIPIGANA HADHARANI

Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Gerard Pique (kulia) na Alex Song wakiwa wanapigana juu ya basi la Barcelona

Shocked: Victor Valdes (left) and Alexis Sanchez (far left) watch as the pair grapple
Victor Valdes (kushoto) and Alexis Sanchez (kushoto) wakiwatazama
Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Song akionesha ubabe
Astonishing: Gerard Pique (right) and Alex Song seem to be fighting on top of the Barcelona bus
Song akiwa tayari kurusha ngumi

Defence: Pique
Song akionekana na hasira akimfokea Pique
Happy? Other Barcelona stars turn to watch as Song and Pique continue to tussle
Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Hapa Song akimpa kibao


Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Hapa ndundi zikianza
Caught flush: Song seems to land a slap on Pique's cheek during the scuffle
Konde likamtoka Song
Huu ugomvi unaweza ukawa umetokana na bia nyingi zilizokuwepo kwenye gari hilo. Wanasiasa wa Catalonia wamelaumu kitendo hicho na kusema ni mfano mbaya kwa vijana
Stepping in: Carles Puyol (back) holds onto Pique's shirt as Valdes holds him by the arm
Carles Puyol akimkunja shati pique

Heated? Puyol and Valdes talk between themselves as the scuffle diffuses Puyol na Valdes katikati wakijaribu kuamulia ugomvi  

Happy? Song (left) poses alongside Sanchez (centre) and Eric Abidal (right) Song (kushoto) alongside Sanchez (katikati) and Eric Abidal (kulia)



MWANDISHI CHARLES MULLINDA AJITOA KWENYE JUKWAA LA WAHARIRI


8 c1dd8
Charles Mullinda


Mhariri Mtanzania Jumatano
Kaimu Mwenyekiti
Jukwaa la Wahariri
YAH: KUJITOA KWENYE JUKWAA


Napenda kukufahamisha kuwa nimeamua kujitoa kwenye Jukwaa la Wahariri kwa sababu siridhiki na mwenendo wa Jukwaa hilo.Nimeamua kujitoa kwa sababu sijaridhishwa na uamuzi uliofikiwa wa kuingilia uhuru wa habari na kufumbia macho baadhi ya mambo ambayo ninaamini hayapaswi kufumbiwa macho.
Uamuzi wangu huu pia unatokana na jinsi jukwaa linavyotumia nguvu kubwa kuficha ukweli unao wahusisha
baadhi ya wahariri ambao gazeti hili lilibaini kuwa walikuwa na mawasiliano yenye utata na aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi, Joseph Ludovick. Aidha siridhishwi na jinsi baadhi ya wahariri wanavyoshambuliwa na wahariri wenzao katika magazeti yao pasipo Jukwaa kuchukua hatua huku kwa upande mwingine likitumia nguvu kubwa na pesa nyingi kuwalinda baadhi ya wahariri ambao nyendo zao zinatia mashaka.

Kikao cha kwanza na TEF na kilichofanyika leo kimedhihirisha pasipo mashaka kuwa TEF iliamua kuwa na ajenda maalumu ya kumshughulikia Mullinda kwa kuwa tu nilionyesha mawasiliano ya Deodatus Balile na Ansbert Ngurumo dhidi ya Ludovick kama ambavyo gazeti la Tanzania Daima lilivyoonyesha mawasiliano ya Dennis Msaki na Ludovick.
Ripoti ya timu iliyoundwa kuchunguza ukweli wa habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania Jumatano ina upungufu mkubwa wa kimantiki ambao hata kwenye kikao niliuonyesha lakini haukusikilizwa.Ushahidi wa Ngurumo kumtumia pesa Ludovick upo wazi, lakini hakuna mtu anayeliangalia hilo kwa sababu tu timu ile iliundwa kumshughulikia Mullinda kwa sababu aliandika vigogo wa TEF ambao wako karibu na viongozi wa TEF.
Nimeamua kujitoa baada ya kubaini kuwa jukwaa linafanya kazi kwa ajili ya maslahi ya watu binafsi.
Kwa taarifa hii naamini utaratibu wa kawaida wa kuagana utazingatiwa.

Charles Mullinda.
 


HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YA RUGE NA KUSAGA KWA LADY JAY DEE COMMANDO

HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA...
 



INASEMEKANA NANI KAMWAGA POMBE YANGU WA MADEE AME-COPY NA KU-PASTE KUTOKA WIMBO HUU




Wednesday, May 15, 2013

MWANA FA AINGIZA MAMILIONI KWA KUUZA MUZIKI WAKE KAMA RINGTON



IMG_1042
 Hip hop inauza kwa mujibu wa Hamisi Mwinjuma au Mwana FA kama anavyo fahamika kimuziki ambaye leo ameachia wimbo wake mpya, Kama Zamani, hivi karibuni alipokea malipo ya miezi mitatu kutoka kampuni moja ya kuuza miito ya simu yanayofikia shilingi za kitanzania milioni 18.

Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Mwana FA aliyekuwa wa tatu kati ya wasanii waliopata fedha nyingi zaidi kwenye malipo hayo chini ya Rose Mhando na Diamond, amesema ameamua kuweka wazi hilo ili watu waondoe imani kuwa muziki wa hip hop hauuzi.



Tuesday, May 14, 2013

ANGELINA JOLIE AKATWA MATITI NA KUONDOLEWA MFUKO WA UZAZI

 
Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi.
Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie amesema alifanyiwa uchunguzi wa seli zake na kugunduliwa kwamba alikuwa katika hatari kubwa sana ya kupata saratani ya matiti. Ndipo akaamua kukatwa matiti yake mawili.
Angelina mwenye umri wa miaka 37 na mama wa watoto sita, alipoteza mamake mzazi kutokana na maradhi ya saratani ya matiti.
Anasema aliandika taarifa hiyo kuwahakikishia watoto wake kwamba hakuwa kwenye hatari ya kupata saratani tena.
Kulingana na Jolie madaktari walisema kuwa uwezekano wake kupata Saratani ya matiti ni asilimia 87 huku akiwa na asilimia 50 uwezo wake wa kuugua Sarati ya mfuko wa uzazi.
''Niliamua kuchukua hatua mwenyewe ili kuzuia uwezekano wowote wa kuugua Saratani hiyo,'' alisema Jolie.
Alisema kuwa shughuli hii ilianza mwezi Februari na kukamilika mwishoni mwa mwezi April.

Uwezekano wapunguzwa.

Katika taarifa iliyoandikwa na Bi Jolie na yenye kichwa, 'Uamuzi wangu wa kimatibabu', Bi Jolie alieleza kuwa mamake alipambana na Saratani kwa miaka kumi na kufariki akiwa na umri wa miaka 56.
Alisema kuwa alielewa fika kuwa siku moja atawahi kuugua Saratani na ndio maana akachukua uamuzi wa kufanyiwa upasuaji huo mgumu wa wiki tisa ambao ulihitaji kukatwa matiti.
Uwezekano wake wa kuugua saratani sasa umeshuka kutoka 87% hadi 5%.
Alimsifu mumewe Brad Pitt, kwa kumuunga mkono na kumfariji kwa kila aliyopitia, na kusema kuwa ametulizwa na kuwa wanawe hawakupata lolote katika matokeo ya uchunguzi wa madaktari tangu kufanyiwa upasuaji.
"ninahisi kuwa na nguvu kwa uamuzi niliofanya, na kwa kuwa ninasalia kuwa mwanamke hata baada ya kuondoa viungo hivyo,'' alisema Bi Jolie.
"kwa mwanamke yeyote anayesoma maneno haya, natumai ataweza kujua kuwa wanaweza kufanya uamuzi.''
Muigizaji huyo, ambaye ameshinda tuzo nyingi kwa uigizaji wake, pia ni mtunzi wa filamu na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika na harakati za kibinadamu.
Wakati alipokuwa anafanyiwa upasuaji, Bi Jolie alizuru Jamuhuri ya Kidremokrasia ya Congo pamoja na waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague.
Jolie pia alihudhuria mkutano wa mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa G8, kuhamasisha dunia kuhusu dhulma za kingono katika maeneo ya vita.

SOURSEBBC SWAHILI


KAMATI YA UJENZI WA KITEGA UCHUMI CHA YANGA YAOMBA MSAADA WAKO

Kwa wale watumiaji wa facebook ukiingia katika anuani hii Kamati ya ujenzi wa kitega uchumi unaweza ukatoa maoni yako kwa kilabu hiki kikongwe na kikubwa barani afrika

VIDEO: AMCHOMA MKEWE MOTO KISA AMEZIDI UZURI




Monday, May 13, 2013

REGINALD MENGI KUTOA MILIONI 1 KWA KILA TWEET ITAKAYO MFURAHISHA KWA MWAKA MZIMA



Hapa akimuelekeza mmoja wa watumiaji wa mtandao huo wa kijamii jinsi ya kushiriki. Inatakiwa uzielekeze zote kwake ili azione.



Hapa akisisitiza Tweet zihusu upambanaji na umasikini

Akaeleza na kusudio lake

Kabla ya kuja na wazo hilo yeye mwenye aliwahi ku tweet kuhusu umasikini kwa jicho la tatu


MTUHUMIWA WA BOMU LA KANISANI OLASITI ARUSHA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mtuhumiwa wa kurusha Bomu kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, parokia ya Olasiti, Jimbo Kuu la Arusha, Victor Ambrose Calist amefikishwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi kwenye  Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi, Devota Kamuzora leo.

Ambrose amesomewa  mashtaka 21 ya kuua na kujaribu kuua  wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo ambao mgeni rasmi alikua Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Fransisco Padilla  ambaye alikuwa na mwenyeji wake Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu.

Katika hatua nyingine Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas amesema kuwa watuhumiwa watatu raia wa United Arab Emirates (UAE) Abdul Aziz Mubrak (30) ambaye ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato, Fouad Saleem Ahmed Hareez Al Mahri (29), Saeed Abdulla Saad (28) ambaye ni askari Polisi  na raia mmoja wa Saudia Arabia, Al Mahri Saeed Mohseens (29) wamekutwa hawahusiki na tukio hilo na wamekabidhiwa kwenye idara ya uhamiaji mkoani Arusha ili kuangalia kama waliingia kihalali nchini.

Sabas amesema watuhumiwa wengine bado wanahojiwa kuona namna gani wanahusika na kitendo hicho cha kigaidi.



MSANII LADY JAY DEE APOKEA HATI YA MASHITAKA LEO

 

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee (Pichani) muda si mrefu amepokea hati yake ya mashtaka kutoka katika mahakama ya Kinondoni ambapo ameshtakiwa na Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds FM baada ya kuwa na kutofautiana kwa muda.
Jaydee ambaye alikuwa Baraza la Sanaa ambapo alikuwa akiongea katika jukwaa la wasanii, alipata ujumbe wa kuitwa mahakamani na alipofika alikabidhiwa hati hiyo ambayo mwenyewe alikataa kusema makosa aliyoorodheshewa, na kusema kwamba anataka kwanza awasiliane na mwanasheria wake.
Kikubwa ambacho aliweza kusema kwa waandishi waliokuwa wameongozana naye ni kwamba, kesi itaanza kuunguruma tar 27 mahakamani hapo.
Kati ya vielelezo alivyopewa na mahakama ambavyo alivionesha kwa baadhi ya waandishi ni pamoja na nakala za magazeti na nakala za Post za blog yake pamoja na tweets!



 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU