Facebook Comments Box

Friday, September 12, 2014

MAGAZETI YA LEO: IJUMAA TAREHE 12/09/2014

1_75a23.jpg
2_e5bc2.jpg
3_006a7.jpg
4_3561e.jpg
5_1c0d7.jpg
6_5af4c.jpg
10_d0136.jpg
20_5e9fd.jpg
21_ac5c6.jpg
22_d9f81.jpg
23_db78d.jpg
24_63865.jpg
25_92461.jpg
26_f0984.jpg
27_ed6d1.jpg
28_c2f71.jpg
29_355f0.jpg
30_25300.jpg
31_1f9d1.jpg
32_fbc15.jpg
33_74b56.jpg
40_0612e.jpg
60_7d3ab.jpg
61_963aa.jpg
62_b741f.jpg
63_e6293.jpg
1454873_1465270637079850_2172364455719402651_n_dfdcd.jpg
10178021_1465270673746513_846743157055656123_n_15015.jpg
10603790_1465270947079819_953471165469984265_n_024f0.jpg
10701979_1465270930413154_6564764163349578392_n_60bc2.jpg


HATIMAYE MV KIGAMBONI YARUDI KAZINI BAADA YA KUTOKA MATENGENEZONI

Kivuko hiki kilikuwa kwenye matengenezo baada ya kuharibika na kufanya kuwepo na kivuko kimoja tu ambacho ndicho kikubwa cha Mv Magogoni, siku chache zilizopita Waziri wa Ujenzi Mh. John Pombe Magufuli aliwatembelea Navy kukagua matengenezo ya kivuko hicho na kuwataka wamalize haraka marekebisho hayo ili kuwasaidia wananchi maana wanateseka kwa kusubiri Kivuko kimoja kiende halafu kirudi.

Na Jeshi limetimiza ahadi kwa kukamilisha matengenezo hayo na jana Tarehe 11 septemba 2014, Kivuko hicho kimerudi na kuanza kazi yake rasmi kama kinavyoonekana katika picha ya kwanza na ya pili hapo juu.



PATA KUFAHAMU HALI YA MCHEZAJI WA IVORY COAST BAADA YA VIPIMO

Serge Aurier akiwa chini baada ya kuanguka na kuzimia katika mpambano kati ya Cameroun na Ivory Coast

Mlinzi matata wa Ivory Coast amesema kuwa sawa na madaktari baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.Madaktari walitoa uamuzi wao baada ya Serge Aurier kujeruhiwa na kuzimia kwa muda wakati wa michuano ya kufuzu kwa kombe la taifa bingwa Afrika dhidi ya Cameroon Jumatano. 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, alijeruhiwa baada ya kugongana na kinara wa Cameroon, Stephane Mbia mapema wakati wa kipindi cha pili cha mechi kati ya timu zao.

Ivory Coast ilishindwa na Cameroon kwa mabao 4-1. Aliondolewa uwanjani kwa kitanda na alionekana kujeruhiwa vibaya. Lakini Aurier alipata fahamu na kubaki uwanjani kutizama mechi ilipokuwa ikiendelea.

"Alipokea matibabu akiwa katika uwanja wa Ahmadou Ahidjo mjini Yaounde, na msaada huo ndio ulimsaidia kupata fahamu kabla ya kurejea sehemu walipokuwa wachezaji wa akiba. ''


MFUNGWA AKUTWA NA SIMU MWILINI




Kwa baadhi ya watu simu ya mkononi ni kifaa tu cha mawasIliano ilihali kwa wengine ni kifa ambacho kinaweza kukuweka katika hali ya kufa kupona.

Mfungwa mmoja nchini Kenya amewaacha wengi vinywa wazi, baada ya simu tatu za mkononi kutolewa mwilini mwake. Inaarifia aliziingiza simu hizo mwilini mwake kupitia sehemu yake nyeti ya nyuma.

Mfungwa huyo wa gereza la King'ong'o katika jimbo la Nyeri alifanyiwa upasuaji Jumanne kutolewa simu hizo ambazo alikuwa amezificha mwilini mwake kupitia sehemu yake ya nyuma.
Tatizo la kuingiza bidhaa kimagendo ndani ya magereza ni kero kubwa kwa maafisa wakuu wa magereza.Wamekuwa kwa miaka mingi wakijaribu kulikomesha tatizo hilo bila mafanikio.Kwa njia yoyote ile wafungwa huingiza bidhaa kama simu katika magereza nchini Kenya kinyume na sheria za magereza.

Maafisa wa magereza wanakiri kwamba wafungwa hawa wakati mwingine hushirikiana na walinzi wa magereza kuingiza bidhaa katika magereza kimagendo.
Chanzo:Bbc


Wednesday, September 10, 2014

COUTINHO HATIHATI KUIKOSA AZAM MECHI YA NGAO YA HISANI


kitongoni loyola:
Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imegawana point na Polisi ya Dar es Salaam pia pale zilipotoka suluhu bin suluhu katika mtanange wa kirafiki uliofanyika leo asubuhi katika uwanja wa shule ya sekondari Loyola ambao ndiyo uwanja wa mazoezi wa timu ya Yanga.

Mpambano huo uliokuwa mzuri na wa kasi kutokana na timu zote mbili kutumia sana viungo ambapo kwa upande wa wenyeji Yanga Mrisho Ngassa na Coutinho waling'ara sana.

 Coutinho

katika dakika ya 14 tu ya mchezo, mshambuliaji wa timu ya Polisi alikosa goli la wazi akiwa ana kwa ana na mlinda mlango wa Yanga Juma Kaseja ambaye aliucheza mpira huo kwa mguu.

Mpira huo uliingia dosari katika dakika ya 20 ya mchezo wakati Coutinho alipoumia na kutolewa nje na kuzua hofu kubwa kwa Viongozi, wachezaji pamoja na mashabiki wa timu hiyo kuona kuwa anaweza kukosa mchezo wa ufunguzi wa Ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Azam ambao unataraji kufanyika tarehe 14 septemba, 2014 siku ya jumapili.

Kwani hata kuondoka kwake hapo uwanjani mchezaji huyo alipewa msaada mkubwa na Daktari wa timu yake aliyekuwa amemshikilia begani na kuacha maswali mengi hasa kuhusu mchezo huo.



SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA NI "SAMSUNG GALAXY NOTE EDGE" HEBU IONE HAPA

Haya tena wale wapenzi wa teknolojia,Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabayo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.

Simu hii ina kioo kilichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.



Note Edge ina sifa zifuatazo:

Inaelekea kufanana kiasi Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.



Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote.

Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.


WAKAZI WA BAGAMOYO NA MAENEO YA JIRANI KUKWEPA FOLENI BAADA YA KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM KUKAMILIKA



Kivuko kipya cha Mv Dar es salaam ambacho kinataraji kutoa huduma zake kati ya Dar es salaam na Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani tayari kimekamilika.

Taarifa za kivuko hicho zilitolewa jana na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kuwa kivuko kimekamilika nchini Denmark na kimeisha shushwa kwenye maji tayari kuanza safari ya kuja Dar es salaam ili kazi ianze ambapo kinatarajiwa kufika kati ya wiki tatu au nne hivi. 

Kivuko hicho kitakuwa na kasi kuliko kivuko chochote Afrika Mashariki.




 



SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 10/09/2014 HAPA

1_2f86a.jpg
2_5bc9d.jpg
3_725a3.jpg
4_35de4.jpg
5_102d4.jpg
6_64d98.jpg


 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU