![]() |
| Mwananchi akiwa amejikinga na mifuko ya plastiki akisalimiana na mwenzake. |
Sunday, August 10, 2014
Saturday, August 9, 2014
WABUNGE WA YANGA WALIVYO WANYANYASA WABUNGE WA SIMBA
| Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2. |
| Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga. |
Wafungaji Simba: Maji Marefu na Yusuf Gogo.
Yanga: Idrissa Kitwana, Ahmed Ngwali na Mark Tanda.
| Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa Yanga. |
| Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga. |
| Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba. |
| Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. |
| Hekaheka wakati wa mtanange huo. |
| Mashabiki wakifuatilia mtanange huo. |
| Timu zikiingia uwanjani. |
| Ridhiwan akiwapa hi mashabiki. |
| Waamuzi wakiingia uwanjani. |
| Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge). |
RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WATEMBELEA MAKTABA YA KIRAIS YA RAIS BUSH

![]() |

CHANZO:WAVUTI
BONGO FLEVA WAWANYAYASA BONGO MOVIES
![]() |
| Mchezaji wa Bongo Fleva, Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa ‘Cloud 112′. |
![]() |
Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies. |
![]() |
| Nyomi ndani ya Uwanja wa Taifa ikifuatilia mechi hiyo. |
![]() |
| Kikosi cha Bongo Movies. |
![]() |
| Kikosi cha Bongo Fleva. |
![]() |
| Bongo Fleva wakisalimiana na Bongo Movies kabla ya mechi. |
![]() |
Bongo Movies kabla ya kuanza mtanange dhidi ya Bongo Fleva. |
KIBONDE MBARONI
![]() |
| Kibonde akiwa chini ya ulinzi |
![]() |
| kunifuatafuata sio dili achana na mimi |
Wednesday, July 30, 2014
ALICHOAMUA KINGWENDU BAADA YA MKEWE KUBAKWA
Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa alizipata habari hizo wakati ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na jirani huyo aliyembaka mida ya saa tano usiku wote walikuwa wamelewa.
”Kama ulivyosikia hiyo habari, mimi nilikuwa sipo ndo nimerudi jana, nataka nianze kufuatilia sheria sema sasa hivi nimefiwa na dada yangu tunapeleka msiba kijijini na baada ya hapo ninapumzika kesho tu halafu ninasafiri Nairobi, nikirudi Nairobi tarehe tano kuanzia tarehe sita ndo naanza kufuatilia.” Amesema Kingwendu.
Mchekeshajihuyo ameumizwa na kitendo hicho na ameamua kufuata taratibu za kisheria ili haki itendeke.
“Kutokana na kitendo alichokifanya na mimi nimejisikia vibaya, inanibidi nimtafute huyu bwana nimpate ili nimpeleke mahakamani, mke wangu bado niko naye, sema huyu jamaa aliyefanya unyamaa huu yupo jirani.
Mke wangu alikuwa amelewa na jamaa naye alikuwa amelewa. Mke wangu sijui alikuwa anatoka wapi saa tano usiku ndo akakutana na huyo jamaa, majirani ndio walivyoniambia hivyo, walinipigia simu wakati nipo Shinyanga huko.”
Source: Bongo5
Tuesday, July 29, 2014
TAMASHA LA IDD TABATA SHULE:MECHI WALIO OA NA AMBAO HAWAJAOA
Saturday, July 26, 2014
MAJINA 70 YA WALIOPATA AJIRA YA UHAMIAJI
MAJINA 70 YA WALIOPATA AJIRA
YA MKAGUZI MSAIDIZI WA
UHAMIAJI.
TANGAZO KUITWA KWENYE AJIRA
NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA
UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF
IMMIGRATION)
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao
waliofaulu usaili wa kujaza nafasi ya
Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji
(Assistant Inspector of Immigration)
wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya
Idara ya Uhamiaji, Mtaa wa Loliondo
Kurasini, Dar es Salaam tarehe 29 Julai
2014, saa 2:00 asubuhi. Aidha,
wahusika wote wanaelekezwa kufika
kwa wakati wakiwa na vyeti halisi vya
masomo na vya kuzaliwa.
Na
1 Abel Md. Maganya
2.Absolum Stafford Bashigwa
3 Agnes P. Mlay
4 Ali Musa Abdallah
5 Angela Kagaruki
6 Antony J. Nyagilo
7 Asteria Kiyanga
8 Awadhi Issa
9 Aziza Kaku
10 Bakari M. Khamis
11 Baraka Estomihi
12 Beatrice K. John
13 Bernard K. Mwampashe
14 Binasra J. Sabri
15 Charles M. Swai
16 Cosmas J. Mbuguni
17 Dativa J. Ndyetabura
18 David Muna
19 Doroth Ngai
20 Dotto Tabu
21 Emmanuel Gelison
22 Ezekiel A. Kibona
23 Fahamu Saidi
24 Farida Sued
25 Felix Mkemwa
26 Forget N. Charles
27 Frida N.Masomhe
28Gabriel M. Kamugisha
29 Gath E. Nyansambo
30 Gerald Moses
31 Gideon Kihoko
32 Godson Mwanawima
33 Grace C. Nyarata
34 Hamza Sanga
35 Hassan A. Mziray
36 Ibrahim Ally
37 Idd Mgoi
38 Joachim Joseph
39 John G. Mgayambasa
40 Joseph Gregory
41 Kennedy John
42 Khamis Moh'd Khamis
43 Kombo M. Ame
44 Kwame Charles
45 Lawi E. Kumburu
46 Mabrouk H. Thabit
47 Mangunda A. Kaporo
48 Marco Zacharia
49 Maria Agapith
50 Mateso Msigala
51 Meshack Mwaisela
52 Michael John
53 Miriam Mwakamele
54 Mlalama Fortinatus Amlima
55 Mussa Hemedi
56 Mwita Mwikwabe
57 Neema R. Mrope
58 Nyangoma Martin
59 Oscar Philip
60 Pasaka Wilson
61Pastory Packshard Mkongwa
62 Reagan H. Kawa
63 Rose Nseka
64 Senga Ally
65 Silvia Ngasoma
66 Sixtus Stephano Burashahu
67 Steven L. Kweka
68 Wendy Y. Mwalukasa
69 Witness Lwambo
70 Zulu P. Charles
Aidha, ni muhimu kufahamu kuwa
uchaguzi wa walioitwa kwenye ajira
umezingatia yafuatayo:
• Vipaumbele vya Idara ya Uhamiaji;
• Kutoa nafasi kwa waombaji kutoka
Zanzibar;
• Ufaulu kuanzia alama 50 asilimia na
kuendelea;
• Jinsia
Wasailiwa ambao majina yao hayamo
kwenye orodha hii wafahamu kuwa
hawakufanikiwa.
Atakayesoma tangazo hili amjulishe na
mwenzake.
Tangazo hili limetolewa na:
Katibu Mkuu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4 Mtaa wa Ohio
11483 Dar es Salaam
Friday, July 25, 2014
TV IMAAN WAPATA LESENI YA KURUSHA MATANGAZO
Hatimae TCRA leo watoa leseni ya urushaji wa matangazo ya Tv kwa TV Imaan na kuwa television ya kwanza afrika mashariki na kati kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili.
Tunawatakia mafanikio mema na Allah awaongoze katika kuwatoa watu kwenye giza na kuwapeleka kwenye nuru.
![]() |
| Br Arif Nahad akitoa hutuba |
![]() |
| Br Arif Nahad na Br Ally ajiraan wakibadilishana mawazo katika hafla ya utoaji wa leseni |
![]() |
| Mwenyekiti wa The Islamic Foundation akihojiwa na Jaffar Mponda |























