![]() |
| Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif akikaribishwa katika msikiti wa kichangani |
![]() |
![]() |
| waumini wakizika mwili wa sheikh Ilunga Hassan Kapungu |
![]() |
| Jeneza lililombeba sheikh Ilunga likiingizwa msikitini kwa ajili ya Sala ya mwisho |
![]() |
| Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif akikaribishwa katika msikiti wa kichangani |
![]() |
![]() |
| waumini wakizika mwili wa sheikh Ilunga Hassan Kapungu |
![]() |
| Jeneza lililombeba sheikh Ilunga likiingizwa msikitini kwa ajili ya Sala ya mwisho |
Nchi ya Tanzania imezizima kwa huzuni baada ya mwanaharakati wa kiislam Ustaadh Ilunga Hassan Kapungu kuaga dunia jana kwenye saa tano usiku.
Mwili wa marehemu utaswaliwa leo Alasir katika msikiti wa kichangani magomeni. Mwili utazikwa kwenye makuburi ya Mwinyi mkuu
Inna lilayh wa inna ilayhi rajiuun.
Allahuma ghfirlahu warhamhu waskanahu filjannah
Wajumbe kutoka sehemu mbalimbali duniani wamefika jijini Arusha kwa ajili ya mkutano mkubwa ulio andaliwa na taasisi ya Dhi Nureyn Tanzania yenye makao makuu mkoani Iringa.
Taasisi hiyo huji usisha na utoaji wa misaada na uendelezaji wa dini.
Sasa hivi taasisi hiyo inamiliki radio inayosikika mikoa ya nyanda za juu kusini.
Baada ya Manchester United kumfungashia virago kocha wao fununu,tetesi,masikio na macho yote yamehamia kwa washika bunduki wa London
Mwanasayansi nchini Japan anaitwa Osawa amegundua miwani ambayo imeitwa miwani ya kipelelezi "AgencyGlass"Madaktari nchini India wamepatwa na mchangao baada ya kukuta vipande 12 vya dhahabu katika tumbo la mgonjwa ambae alikuja na maumivu ya tumbo.
Dr C.S. Ramachandran anasema kuwa mgonjwa huyo alikuja na maumivu ya tumbo na akasema kuwa alimeza mfuniko wa chupa
Dr C.S Ramachandran alikataa kuweka wazi jina la mgonjwa ila vipande hivyo vya dhahabu wamevikabidhi polisi
Nae afisa wa polisi anasema vipande hivyo vitakuwa vimeibiwa na wanafanya uchunguzi.
Kila kipande cha dhahabu kilicho kutwa tumboni lilikuwa na uzito wa gram 33.