Timu ya Young Africans Sports Club jana imewaonesha Mgambo JKT mataa ya mjini baada ya kuwachabanga mabao mawili kwa bila. Mabao ya Yanga yamefungwa na Simon Msuva katika kipindi cha pili.
|
Kiungo mbrazili Coutinho akitafuta njia ya kumtoka beki wa mgambo |
|
Kikosi cha Yanga |
|
Kikosi cha Mgambo JKT |
|
Msuva akishangilia bao lake la pili |