chini ni picha za bonanza hilo.
| mtanange ukiendelea | 
| Kipindi cha Pili Nassoro Binslum akiwa tayari kuanza kazi | 
| wakati wa zawadi | 
| wakishangilia ushindi wa taem Dizzo one | 
| keki na kombe | 
| mameneja wa timu mbili wakipongezana | 
| mfungaji wa mabao matatu "hat trick" akipewa zawadi ya mpira | 
| keki ikikatwa | 
| Patrick Dumulinyi muanzilishi wa group la kandanda akilishwa keki |