Yule gwiji wa uimbaji ambae alistaafu kuimba hivi karibuni amefariki dunia leo saa saba. Allah amrehemu na amuwepesishie mazito Msiba upo nyumbani kwake mabibo makuburi.