Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonesha hali ilivyo sasa mto ruvu. Mpaka sasa daraja hilo halipitiki hamna gari lililopita kwenda morogoro na Arusha wala kuja huku Dar es salaam.