Waandishi wa Habari wa vituo mbali mbali vya Televisheni pamoja na magazeti wa hapa Jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 26/10/2013 walipata fursa ya kutembelea ofisi za Azam Tv zilizopo Tazara.
Mkurugenzi
 Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Rhys Torrington akionyesha King'amuzi cha
 Azam TV kwa baadhi ya Waandishi wa habar.
Baadhi ya Wakuu wa vitengo mbalimbali vya kampuni ya Azam media wakimsikiliza Mkurugenzi wao.
Meneja
 wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Azam Media, Loth Mziray (kulia) 
akifafanua jambo kwa baadhi ya Waandishi wa habar. 
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Azam Media Kitengo cha huduma kwa Wateja wakiwajibika.
Meneja
 Uzalishaji na Ufundi wa Kampuni ya Azam Media, Mehboob Al-Addad 
akionyesha moja ya mixer za sauti zilizopo ndani OB Van ya Azam TV 
ambayo ni ya kisasa na yenye vigezo vya kimataifa.
Wazee 
wa Kazi ndani ya OB Van la Azam Tv,toka kulia ni Meneja Uzalishaji na 
Ufundi wa Kampuni ya Azam Media, Mehboob Al-Addad, Meneja wa Azam FM na 
Matukio ya Moja kwa Moja,Yahya Mohamed pamoja na Fundi Mitambo wa OB Van
 hiyo, Saleh Mansoor aliyekaa wakifatilia moja ya kazi zao.
 Chanzo: http://tinyurl.com/pcxdmaz










