Klabu ya Arsenal iliendeleza wimbi la ushindi kwa kuitoa kwa matuta West Brom Uwanja wa The Hawthorns na kuingia Raundi ya Nne ya michuano hiyo. Eisfeld aliifungia Arsenal dakika ya 61 kabla ya Berahino kusawazisha dakika ya 71.
Arsenal itamenyana na wapinzani wao katika Jiji la London, Chelsea
katika Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup
baada ya kuitoa West Brom kwa penalti 4-3 Uwanja wa Hawthorns.
Mechi
hiyo iliisha kwa sare ya 1-1 usiku wa jana ndipo ilipoamuriwa zipigwe penati ambapo Washindi walipata penati zao 4 na walikosa moja wakati Westbrom wao walikosa penati mbili.
![Keeping his cool: Nacho Monreal stepped up to convert the winning penalty for Arsenal](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-18453B3200000578-957_634x388.jpg)
Nacho Monreal akiifungia Arsenal penalti ya ushindi
![Cue celebrations: Monreal's Arsenal team-mates rushed to congratulate the Spaniard after his strike](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-18453E3700000578-403_634x338.jpg)
Monreal na wachezaji wenzake wa Arsenalwakishangilia
![Nice work: Arsene Wenger talks to the returning Nicklas Bendtner before his penalty](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-18453FA000000578-132_634x511.jpg)
![Cool: Arsenal's Thomas Eisfeld netted the opener for the visitors after the hour mark](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-1844343F00000578-919_634x378.jpg)
Thomas Eisfeld akiifungia bao la kwanza Arsenal
![Incoming: Nicklas Bendtner collides with the post in the first half at The Hawthorns](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-1843C51E00000578-901_634x422.jpg)
Nicklas Bendtner alikuwa mwiba usiku wa jana The Hawthorns
![New look: The Denmark striker donned a beard and a David Beckham-esque haircut](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-1844363D00000578-340_634x401.jpg)
Mdenmark Nicklas Bendtner amekuja kwa staili ya nywele za David Beckham
![Congratulations: Bendtner and Eisfeld are mobbed by team-mates after Arsenal opened the scoring](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/09/25/article-2432131-184442C800000578-530_634x495.jpg)
Bendtner na Eisfeld wakipongezwa na wachezaji wenzao