
Mtandao wa Google umeamua kuizidi Umoja wa Mataifa baada ya yenyewe kuanza kuitambua Palestina kama nchi rasmi. Hawakutoa taarifa rasmi ila ni baada ya kuona nembo iliyopo chini ya Google.
![]()  | 
| Hii picha ni ya mwanzo kabla Google haijaitambua Palestina kama nchi kwa chini ikiwa imeandikwa mipaka ya Palestina kwa Lugha adhimu ya Kiarabu | 
![]()  | 
| Na hapa ikisoma kama nchi. | 

