Pages

Monday, March 4, 2013

BODABODA ZAANZA BIASHARA RASMI NA NAMBA ZA BIASHARA DAR ES SALAAM

Baada ya kutambulika rasmi na EWURA kama wasafirishaji halali wa abiria. Kamera yetu imeiona pikipiki maarufu kama bodaboda ikiwa na namba nyeupe za kibiashara.