![]()  | 
| Meza kuu wakati wa kuanza kikao | 
![]()  | 
| Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wiliam Malecela maarufu kama LEMutuz akiwa anasisitiza jambo kwenye mkutano huo. | 
![]()  | 
Sekretarieti ya UVCCM ikiwa meza ya mbele pamoja na wajumbe wengine wa Baraza Kuu la UVCCM  | 
![]()  | 
Wajumbe wa Baraza mbele pamoja na Chipukizi na kikundi cha uhamasishaji wa UVCCM Mkoa wa Dodoma wakiwa safu ya nyuma.  | 
![]()  | 
| Kikao kikifunguliwa | 
![]()  | 
| Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa. | 








