Pages

Sunday, June 1, 2014

MAMA YAKE ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA.

Mh. Zitto Kabwe ameweka katika ukuta wake wa facebook kuwa mama yake mzazi amefariki dunia.

Inna lilahi wa inna ilayhi rajiuun.

Pole sana mheshimiwa Allah akupe subira katika wakati huu.

OFFICIALLY: KOCHA MKUU WA YANGA NI MAXIO MAXIMO.

Mwenyekiti wa Yanga Bwana Yusuf Manji ameuthibitishia mkutano mkuu wa mabadiliko ya katiba wa Yanga kuwa kocha mkuu wa Yanga kwa sasa ni Mbrazili Maxio Maximo.
Maxio Maximo