Picha chini ni mmiliki wa African Stars Asha Baraka akiwa anafunga ndoa. Amefunga ndoa hiyo Ijumaa ya tarehe 11. Tunamtakia maisha mema ya ndoa yake mpya
Hii ni moja ya athari ya mvua huko mbulu ikionesha gari limesombwa na maji na dereva wa gari hilo akiwa amejihifadhi juu ya mti.