Pages

Saturday, April 12, 2014

PICHA: ATHARI YA MVUA MBULU

Hii ni moja ya athari ya mvua huko mbulu ikionesha gari limesombwa na maji na dereva wa gari hilo akiwa amejihifadhi juu ya mti.