Pages

Wednesday, September 24, 2014

RONALDO AINGIA NYAVUNI MARA NNE REAL MADRID IKIIKANDAMIZA ELCHE BAO 5 KWA 1

Cristiano Ronaldo ameifungia timu yake ya R.madrid hat-trick baada ya kufunga goli nne peke yake katika ushindi mnono nyumbani dhidi ya bao 1 la Elche, huku Gareth Bale akitangulia kufunga bao moja dakika ya 20 ya mchezo.
 Cristiano Ronaldo akishangilia huku Bale akimfuata nyuma.
 Gareth Bale mfungaji wa bao la kwanza katika mchezo huo.