Kuna taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kuwa aliekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Lewis Makame amefariki dunia katika hospital ya AMI masaki alipokuwa amelazwa.
Jaji Lewis Makame
Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya
Uchaguzi Jaji Mstaafu, Lewis Makame aliyelazwa katika hospital ya AMI
iliyoko Mikocheni jijini Dar es salaam