Chini ni picha ambazo ni tukio lilotokea hivi punde maeneo ya mikocheni ilipo TMJ hospitali wanaposema kuwa majambazi walikuwa wakishambulia gari lililo mbele ya basi la magereza. Wakadhani kwenye basi lile kutakuwa na askari mwenye silaha wakalishambulia na basi hilo la magereza.