Pages
▼
Wednesday, June 26, 2013
ADAM JUMA WA VISUAL LAB ATANGAZA KUACHA KUTENGENEZA VIDEO

Taarifa iliyotufikia ni kwamba Adamu Juma adai kuacha kufanya video za muziki,Akiongea na mtandao wa Bongo 5 Adam juma amesema kwamba kwa sasa anafanya kazi na NGOs mbali mbali kuelimisha jami,alisema tena kwamba video production ni business yake lakini kwa sasa "right now im not doing"lakini bado kuna wasanii anawasiliana nao kuwasaidia kibiashara na kimaendeleo soim still around.Adam juma amesema haoni kama kutakuwa na pengo kwa yeye kutofanya video kwani kuna video production company nyingi zinafanya vizuri tu.
HII NDIO HALI ILIVYO NJE YA HOSPITALI ALIYOLAZWA MANDELA
AUDIO: ZITTO KABWE: I AM TANZANIAN
\
Of blood cleaned by fresh waters of the lakes and the rivers and the 
streams of my great nation. A vision from the top of mount Kilimanjaro 
and honesty as clear as The Serengeti savannah. Pure as virgin beaches 
of Zanzibar. Hopeful as a product of Azimio. Sparkling as Tanzanite 
stone out of the Land of Maasai.
 
I am a Tanzanian.
 
Born of the peoples of Africa, of Tanzania. The Pains of the struggle of African liberation. The pains of The Revolution. Whatever the setbacks of the moment, nothing can stop me from being a Tanzanian, an African. The land of Kambarage. The state of our own creation. Whatever the difficulties, Tanzania shall remain ONE, Strong and UNITED. However improbable it may sound, Tanzania shall prevail. Amongst nations of the world. We are The United Republic of Tanzania.
 
HIZI NDIO SABABU ZILIZOFANYA JOSEPH MBILINYI (MB) AACHIWE KWA DHAMANA
Kuhusu Joseph Mbilinyi 'Sugu', Mbunge wa Mbeya Mjini. Ni kweli alikuwa polisi Dodoma, alikoitwa kwa madai ya kutoa lugha ya matusi kwa Ndugu Mizengo Pinda, lakini hajaandikisha maelezo, kwa sababu 3, zifuatazo:
- Wakili wake, Tundu Lissu, amewaambia kuwa Polisi hawawezi kumkamata na kumhoji Mbunge Sugu, iwe ukumbini, maeneo ya bunge, au nje ya maeneo ya bunge, wakati bunge likiendelea, kutokana na parliamentary immunity aliyonayo hadi polisi watakapofuata taratibu zinazotakiwa.
 - Neno hilo wanalotuhumu kuwa ni lugha ya matusi, si tusi kwa sheria za nchi yetu, bali linaweza kutumika kwa vitu au mtu anayefanya matendo au kusema maneno yanayostahili kuitwa hivyo.
 - Wakili wake (Tundu Lissu) kawauliza, nani mlalamikaji katika tuhuma hizo, je wamepokea malalamiko ya Ndugu Pinda mwenyewe? Majibu yalikuwa ya kigugumizi.
 
Wameondoka polisi kwa makubaliano ya kurudi kesho asubuhi.
Na: Tumaini Makene, Afisa Habari, CHADEMA.
Source: WAVUTI
ANGALIA JINSI RAIS ALIVYO MWAPISHA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA MASKAUTI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
 Skauti
 Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri
 kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya 
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
 akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti kabla ya 
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
 akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es 
salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Skauti Mkuu wa
 Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha 
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Skauti Mkuu wa Chama 
cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu 
jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti 
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es 
salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha 
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini 
Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim 
Ahmed Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama cha 
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha  Ikulu jijini 
Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa maskatu na skauti 
 baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na familia yake baada ya kumuapisha 
 Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa wabunge ambao ni 
maskauti  baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti Ismail Aden Rageh na 
wabunge maskauti  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na wanachama wa UWT wilaya ya 
Ilala  baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
 Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na  Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
 Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti nchini baada ya 
kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na skauti Livingstone Lusinde ambaye pia
 ni Mbunge wa Mtera  Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013