Karibia mwenzi mzima ufundi wa maandalizi ya  Obama inauguration 2013 
yaliokua yakifanyika  katika maeneo mbali mbali ya Jijini Washington DC 
yaaza kutia Sura, hapa ni Jengo la Congress ya Marekani Jijini 
Washington DC.
 
 Baadhi ya ufundi uliokamilika katika jingo la  Capitol Hill liliopo 
washington DC na viti vilivyopangwa rasmi kwa ajili ya wageni wanunuzi 
watikiti za 2013 Inauguration History ndio makazi yao yatakapokua hapa 
kwa siku ya Jumatatu Jan. 21, 2013  
 
 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry akipata picha ya 2013 katika 
jingo la  Congress ya Marekani liliopo washington DC katika jingo la  
Capitol Hill liliopo down town Washington DC Nchini Marekani.
 
 Picha 2008 Inauguration History: Hivi ndivyo itakavyokua  Siku ya 
Jumatatu Januwari 21, 2012 kwenye Jumba la Congress ya MarekaniDown Town
 Washington DC.
 
 Sehemu kubwa ya sherehe ya kuapishwa kwa rais Obama ikifanyiwa ukarabati wamuda.
 Rubber floor tiles zikitandazwa maeneo ya sakafu zilizokua na mchanga 
kwaajili ya kuhifadhi tope tope zisitimke na kuharibu eneo hilo kubwa la
 National Mall,
 
 Kukanyaga mchanga Marekani ni kosa kubwa na ndio maana wameweka Rubber 
floor tiles kwaajili ya kukanyagia ili kunusuru michimbuko ya tope tope 
na kutoshafua barabara kwa msongamano wa watu watakaomiminika kutoka 
Nchi mbali mbali kuja kushuhudia kuapishwa kwa Obama
 
 Sehemu iliotandikwa  Rubber floor tiles:  Hivi ndivyo Rubber floor 
tiles zinavyotandikwa kwenye michanga ili kunusuru topetote raia 
wasichafuwe maeneo ambayo bado yanafanyiwa ukarabati sehemu ya National 
Mall Jijini hapa.
 
 Hivi ni baadhi ya yyoo vya Potty shortage vinavyotumika kwa haja ndogo 
na kubwa viko tayari kwaajili ya raia na wa geni watakao miminika 
kuanzia kesho Jumapili na Jumatatu siku ya  Obama's inauguration
 
 Fundi mitambo wa NBC NEWS akianda mpango mzima wa kuahabarisha sherehe za kuapishwa kwa rais wa Marekani Barack Obama Live
 
 Banda la CBS NEWS lilijengwa kwa muda vile vile wako tayari kwa kutoa 
huduma za kuhabarisha matangazo ya moja kwa moja kwenye kumbukumbu za  
2013 Inauguration
 
 Channel marufu ya CNN wakia kwenye uwanja wa National Mall na wao  pia 
wapo tayari kwa kutoa huduma za kuhabarisha na matangazo ya moja kwa 
moja kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Obama  2013 Inauguration 
 
 Basi lililowakilisha baadhi ya wafanyakazi wa CNN kumbukumbu ya  2013 Inauguration ndani ya Jiji la Washington DC 
 
 Basi jengine  lililowakilisha wafanyakazi wa C-SPAN  kumbukumbu ya  2013 Inauguration ndani ya Jiji la Washington DC 
 
 Kamera iliopo mbele ya  Presidential Inaugural Review Stands, in front 
White House Washington, D.C. baada ya kuapishwa kwa Obama. hii ni moja 
itakayo tumika kwenye Inaugural Review Stands
 
 Cheif wa swahilivilla akia mbele ya White House na mmoja wa wafanya 
kazi wa Super Control Camera ambayo kwa jina wanaita Gym Camera inauwezo
 wa kunyanyuka juu umbali wa futi 16  na kuhabarisha Live.
 
 Sony Camera ipo tayari kwa kuhabarisha mbele ya Presidential Inaugural 
Review Stands, mbele ya White House Jijini Washington DC.
 
 Nyuma ya  Presidential Inaugural Review Stands ni White House kuna ujia
 mrefu wa Red carpet ndio atakaotumia kuingilia kwenye Review Stands.
 
 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry akiwa mbele ya Presidential 
Inaugural Review Stands ambayo kutumika kwa ajili ya uzinduzi wa Rais 
Barack Obama baada ya kuapishwa.
 
 Mjengo wa Matangazo pamoja na Camera LIVE uliojengwa kwa moda mbele ya White House
 
 Benchi nyingi zilizojengwa kwa ahili ya wageni na rais kutoka sehemu mbali mbali watatumia kukalia wakati wa Parade