Pages

Friday, December 20, 2013

PICHA: OMARY MAKAME ALIE TUHUMIWA KUMUUA PADRI ZANZIBAR AACHIWA

Picha Omary Makame akiwa anatoka nje ya mahakama baada ya kupewa dhamana. Omary alikuwa anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa risasi padri Zanzibar