![]()  | 
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Salim Abdallah | 
![]()  | 
| Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumtoka Salim Abdallah | 
![]()  | 
| Mrisho Ngassa alimpiga kanzu kipa wa Mtibwa, Hussein Sharrif 'Cassilas' lakini akapigiwa filimbi ya kuotea | 
![]()  | 
| Beki wa Mtibwa, Hassan Ramadhani akimdhibiti Mrisho Ngassa wa Yanga | 
![]()  | 
| Beki wa Yanga, David Luhende akiwatoka wachezaji wa Mtibwa, Ally Shomary na Salim Abdallah | 
![]()  | 
| Salim Abdallah wa Mtibwa akijiandaa kuondosha mpira kwenye hatari mbele ta Kavumbangu | 
![]()  | 
| Beki wa Mtibwa Sugar, Dickson Daud akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu | 
![]()  | 
| Kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan akimtoka beki wa Mtibwa, Paul Ngalema | 
![]()  | 
| Kiungo mkongwe wa Mtibwa, Shaaban Nditi akipasua katikati ya wachezaji wa Yanga SC, Mbuyu Twite kulia na Didier Kavumbangu kushoto | 
![]()  | 
| Hata hivyo, Twite alimuangusha Nditi... | 
![]()  | 
| Shaaban Nditi akiwatoka Said Bahanuzi na Kavumbangu wa Yanga | 
![]()  | 
| Kikosi cha Yanga SC leo | 
![]()  | 
| Kikosi cha Mtibwa leo | 
![]()  | 
| Didier Kavumbangu akishangilia baada ya kufunga bao la pili | 
![]()  | 
| Mpiga picha wa Azam TV, akirekodi kwa ajili ya matangazo ya Live ambayo kwa sasa yanarushwa kupitia TBC | 
![]()  | 
| Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwaongoza wenzake kuingia uwanjani tayari kwa mechi | 
![]()  | |||
| Pamoja na kuwa na maumivu ya jicho, kipa Deo Munishi 'Dida' alianzia benchi leo CHANZO BIN ZUBEIRY | 

















