| Rais Kikwete alijionea shughuli nzima za uzalishaji hadi upakiaji kiwandani hapo | 
| Rais Kikwete akitalii kiwandani hapo, akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma | 
| Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na mkewe Mama Salma KIkwete. Kulia kwake ni Dk Abdallah Kigoda | 
| Rais Kikwete akihutubia kiwandani hapo |