![]()  | 
| Mi busu nayo imo si movie | 
![]()  | 
| mahaba teletele ili movie ilete uhalisia | 
![]()  | 
| Movie inaitwa Temptation ikiwa imemshirikisha Wema na mpenzi wake wa zamni Naseeb maarufu kama Diamond. Kwenye picha wawili hao wakiwa katika sehemu yabuchukuaji wa vipande vya sinema hiyo. | 



