Mwili
 wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya 
Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi 
yatakayofanyika kijiji cha Nzasa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho

Jeneza
 lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa 
kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi
 yatakayofanyika hapo kesho.


Mtuhumiwa
 Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi 
tunaomba msaada wenu kwani huyu mtu ni hatari sana katika jamii yetu.
