Mkurugenzi Mkuu wa 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha 
mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati 
wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa
 nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es 
Salaam.

 Meneja Mawasiliano 
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua 
jambo wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando 
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa 
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza 
B,jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi
 wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano 
Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa 
Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa 
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es 
Salaam.

 Sehemu ya Wapiga 
Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la 
kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili kwa 
wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo
 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano 
Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.




