
Wema Sepetu alitangaza kwamba anaandaa reality show yake chini ya 
kampuni anayoimiliki “Endless Fame”. Muda umefika wa kuanza kuonyesha 
hiyo show yenyewe na Wema ameshatoa teaser au kionjo cha reality show 
hiyo ambayo inaonyesha baadhi ya vitu vinavyohusika kwenye show hiyo. 
Kwenye hii teaser inamuonyesha Wema anazungumzia kazi, mahusiano na 
katajwa Diamond humo,ziara za Wema na maisha ya nyumbani.