Pages

Tuesday, July 2, 2013

TETESI: KING`AMUZI CHA BAKHRESA KITAUZWA TSH 30,000 MALIPO KWA MWEZI NI TSH 2,000 TU



 
Kwa taarifa tulizopata ambazo siyo rasmi zinasema kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi. Na kitakuwa na channel 100+.